NAMNA BODI YA MAJI WAMI INAHAKIKISHA UPATIKANAJI MAJI DAR ES SALAAM
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 38
Описание:
Mwenyekiti wa Bodi ya Maji bonde la Wami Nickson Lutenda amesema Serikali imetenga zaidi ya bilioni 330 kwenye bwawa la Kidunda lenye uwezo wa kukusanya lita bilioni 190 huku mahitaji ya jiji la Dar es Salaam ni milioni 570 kwa siku, bwawa hilo likikamilika tatizo la maji jijini humo litaondoka hata mvua isiponyesha.
Mwenyekiti Lutenda amesema hayo katika #MorningExpress akizungumzia jukumu la bodi hiyo katika uhifadhi wa vyanzo vya maji ili kuwa na huduma ya maji safi na salama katika jiji la Dar es Salaam.
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: