Johari Rotana: Hoteli mpya ya Nyota 5 iliyofunguliwa Dar es Salaam, Inavutia, ni BALAA!
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2019-11-26
Просмотров: 19038
Описание:
Dar es Salaam imepata mgeni mpya, hoteli ya nyota tano iitwayo Johari Rotana. Macho yako hayatokudanganya uzuri wa hoteli hii iliyopambwa kwa nakshi za kuvutia.
Ikipatikana katikati kabisa mwa jiji Dar es Salaam, Posta, Johari Rotana inakupa uoni kamili wa jinsi bahari ya Hindi inavyovutia kwa kutazama meli zikipishana kuingia na kutoka kwenye bandari ya Dar es Salaam. Johari Rotana inakupa tafsiri halisi ya bandari ya salama.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: