WAZIRI MAKAME MBARAWA ATINGA KWENYE UJENZI wa SGR MWANZA - ATOA MAELEKEZO HAYA....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 422
Описание:
WAZIRI MAKAME MBARAWA ATINGA KWENYE UJENZI wa SGR MWANZA - ATOA MAELEKEZO HAYA....
@LEAH MARCO - MWANZA
CC; BAKARI MAHUNDU
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amewataka wananchi walio karibu na miradi ya serikali,kuilinda miradi hiyo pamoja na kuchangamkia fursa zitakazozalishwa na miradi hiyo pindi zitakapokamilika.
Akizungumza leo, Februari 24,2026 wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Waziri Mbarawa alitembelea maeneo mbalimbali ya mradi huo, ikiwemo Fella, katika Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza.
Naye, Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Silvery Luboja, alitoa wito kwa wananchi kutimiza wajibu wao, akiwataka kutoa ushirikiano kwa serikali ili kuhakikisha mafanikio ya mradi huu wa kimataifa.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: