MENEJA RUMANDE TABORA HASARA YA ZAIDI YA MILIONI 100
Автор: KIMM MEDIA
Загружено: 2025-12-02
Просмотров: 17380
Описание:
Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Matiko Chacha ameagiza kukamatwa kwa msimamizi wa mradi wa ujenzi wa soko kuu la mjini kati Tabora injinia Fransis Mwakajinga kwa tuhuma za kutumia zaidi ya milioni 117 kinyume na utaratibu ambapo mradi huo unagharibu zaidi ya bilioni 19 ikiwa ni pamoja na ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Tabora.
mkuu wa mkoa ametoa agizo hilo alipotembelea mradi huo akiambata na kamati ya usalama mkoa wa Tabora.
Kwa sasa mradi huo uko asilimia 45 wakati ulipaswa kuwa tayari umefikia asilimia 91.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: