Watu 17 wanaodhaniwa kuwa raia wa Burundi na Ethiopia wanashikiliwa na jeshi la uhamiaji mkoani Many
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2017-03-02
Просмотров: 2855
Описание: Watu 17 wanaodhaniwa kuwa raia wa Burundi na Ethiopia wanashikiliwa na jeshi la uhamiaji mkoani Manyara,huku raia 14 wakiwemo wasichana watatu wakikamatwa nyumbani kwa mbunge wa jimbo la Kiteto Bw Emmanuel Papian katika kijiji cha Engusero akiwa amewaajiri katika biashara zake na shughuli za kilimo wakidhaniwa si raia wa Tanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: