Kigezo kilichotumika kuchunguza uraia wa mgombea Urais TFF
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-08-03
Просмотров: 3096
Описание: Baada ya headlines za muda mrefu kuhusiana na mgombea Urais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia kuwekewa pingamizi kuwa sio raia wa Tanzania hivyo anakosa sifa ya kugombea nafasi ya urais wa TFF. Leo August 3 2017 Msemaji Mkuu wa idara ya uhamiaji Ally Mtanda ametoa ufafanuzi wa suala hilo, Mtanda amethibitisha kuwa Wallace Karia ni mtanzania na ametaja vigezo vilivyompa hiyo sifa ya kuwa raia wa Tanzania kihalali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: