Kauli ya RPC Dodoma kuhusu mikutano ya hadhara baada ya Rais Samia Kuruhusu
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-01-05
Просмотров: 2385
Описание:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Martin Otieno amewataka wanasiasa mkoani hapa kuondoka hofu kuhusu ulinzi katika mikutano ya hadhara kwamba watakuwa saoama.
Kamanda Otieno ametoa kauli hiyo leo Januari 5,2023 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa mkoani hapa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: