ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

UNAPOPITIA NYAKATI NGUMU KWENYE MAISHA

Автор: Success Path Network

Загружено: 2021-04-13

Просмотров: 30487

Описание: Matatizo kwenye maisha ni kitu cha kawaida sababu yanampata kila mtu bila kujali nafasi au tofauti yoyote mtu aliyonayo. Usipokuwa makini ni rahisi kuanza kumkufuru hata Mungu au kuanza kufanya mambo ambayo yanaweza kukupoteza kabisa katika utaratibu wa mafanikio.

Lakini ukiwa makini na mwenye kuzingatia basi utafahamu kuwa hali ya matatizo ni jambo la kupita tu na zipo siku nzuri mbele zinakuja, kwahiyo mtihani kwako ni namna gani unaishi na tatizo ulilonalo sasa wakati ukiwa na matumiani ya kuzisubiri siku nzuri mbeleni?

Basi somo hili lina mambo 6 muhimu ya kufanya pindi unakuwa kwenye matatizo ya namna yoyote ile kwenye maisha. Karibu sana.
.
Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
.
Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
Click hapa:    / Канал  
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniandikia kwenye COMMENTS ni namna gani uliweza kuyashinda baadhi ya matatizo kwenye maisha yako na nini ulijifunza katika hali hiyo tafadhali tupe uzoefu huo na sisi tupate kitu hapo.

Usisahau ku-LIKE na ku-SHARE pia kwa wengine wajifunze zaidi.
.
KARIBU TUUNGANE KWENYE INSTAGRAM:
SPN CHANNEL:   / successpath_network  
EZDEN JUMANNE:   / ezdenjumanne  
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP : (+255)759191076
.
TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
⚫️ EZDEN JUMANNE:    • EZDEN JUMANNE  
⚫️ VITABU:    • JE, TEKNOLOJIA INADUMAZA USOMAJI VITABU? -...  
⚫️ VICTOR MWAMBENE:    • TUMIA WATU KWA NJIA HIZI UFANIKIWE  
⚫️ HAMASA YA LEO:    • SOMO LA MAISHA | Hamasa Ya Leo EP. 39  
⚫️ NDOA:    • JIFUNZE MAMBO MANNE (4) KABLA YA NDOA  
⚫️ AFYA:    • Njia Rahisi za Kuondoa Sumu Mwilini  

#Matatizo #Maisha #Suluhisho

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
UNAPOPITIA NYAKATI NGUMU KWENYE MAISHA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

USIFUPISHE MAISHA YAKO KWA KUFANYA MAMBO HAYA

USIFUPISHE MAISHA YAKO KWA KUFANYA MAMBO HAYA

Nyakati Ngumu Hutengeneza Watu Hodari | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Nyakati Ngumu Hutengeneza Watu Hodari | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Joel Nanauka : Nini Ufanye Unapopitia Nyakati Ngumu?

Joel Nanauka : Nini Ufanye Unapopitia Nyakati Ngumu?

TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO

TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO

Jinsi ya Kufungua Akili Yako Ili Kuvuta Utajiri na Baraka

Jinsi ya Kufungua Akili Yako Ili Kuvuta Utajiri na Baraka

Jinsi Ya Kujitambua Kwa Haraka Zaidi

Jinsi Ya Kujitambua Kwa Haraka Zaidi

Как Мстят Умные Люди? Беспроигрышная тактика! | Еврейская Мудрость

Как Мстят Умные Люди? Беспроигрышная тактика! | Еврейская Мудрость

Dlaczego Iran płonie? Waluta na dnie! Sklepy zamknięte!

Dlaczego Iran płonie? Waluta na dnie! Sklepy zamknięte!

Maswali Mazito ya Wakili wa Lissu - MARIDHIANO

Maswali Mazito ya Wakili wa Lissu - MARIDHIANO "TUNARIDHIANA NA NANI?"

MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE

MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE

MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU

MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU

JINSI KUFANIKIWA SEHEMU UNAPOPIGWA VITA

JINSI KUFANIKIWA SEHEMU UNAPOPIGWA VITA

LIFE WISDOM : KUSHINDA NYAKATI NGUMU  - JOEL NANAUKA

LIFE WISDOM : KUSHINDA NYAKATI NGUMU - JOEL NANAUKA

CHANZO CHA WENGI KUTOFANIKIWA KIFEDHA | Ezden Jumanne

CHANZO CHA WENGI KUTOFANIKIWA KIFEDHA | Ezden Jumanne

MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING

MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING

Mambo Matano (5) Yanayopoteza Hamasa Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha.

Mambo Matano (5) Yanayopoteza Hamasa Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha.

AKILI ITAKAYOKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO MAKUBWA | PART 1

AKILI ITAKAYOKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO MAKUBWA | PART 1

MAJIRA MAGUMU KWENYE MAISHA - JOEL NANAUKA

MAJIRA MAGUMU KWENYE MAISHA - JOEL NANAUKA

Mambo ya kufanya unapopitia kipindi kigumu _ Kelvin Kibenje #usikatetamaa

Mambo ya kufanya unapopitia kipindi kigumu _ Kelvin Kibenje #usikatetamaa

Jinsi ya Kuongeza Kujiamini Zaidi | Ezden Jumanne

Jinsi ya Kuongeza Kujiamini Zaidi | Ezden Jumanne

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]