WATU 3 WAFARIKI KWA KUZAMA KWENYE MAJI BARIADI
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2024-12-12
Просмотров: 525
Описание: Watu watatu wakiwemo watoto wawili wamefariki kwa kuzama kwenye maji kwa nyakati tofauti katika Ziwa Victoria, mto Bariadi na Dimbwi huko mkoani Simiyu huku vyanzo vya vifo hiyo vikidaiwa ni uzembe wa wazazi na walezi kuwaachia watoto kuchunga mifugo maeneo hatarishi na kutumia muda huo kuogelea ndani ya vyanzo vya maji na mwingine kushindwa kuchukua tahadhari za kiusalama katika shughuli za uvuvi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: