UGOMVI WA ARDHI, ZUBERI AMUUA BABA YAKE NA MJUMBE KWA KUWACHOMA VISU
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2024-12-12
Просмотров: 738
Описание:
#HABARI: Mkazi wa Kitongoji cha Ureno 'A' Kijiji cha Madudumizi Kata ya Zombo wilayani Kilosa mkoani Morogoro, Zuberi Habibu (43), anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaua watu wawili akiwemo baba yake mzazi, Habibu Liomite (80) na Mjumbe wa Serikali ya Kijiji Hassan Khalidi (52) kwa kuwachoma kwa kisu maeneo mbalimbali ya mwili wake kutokana na ugomvi wa kifamilia wa kugombea ardhi.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka amethibitisha.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: