CONTENT CREATOR MEETUP EVENT 2023 FULL EVENT VIDEO
Автор: Joel Media
Загружено: 2023-12-23
Просмотров: 1188
Описание:
✅️Jisajili na Mafunzo ya Graphics hapa👉🏽 https://rb.gy/aj50eb
✅️Au Wasiliana nasi: Call/WhatsApp 👉🏽 +255 27 150 780
CREATOR EVENT IMEFANIKIWA TUNAWASHUKURU WOTE
PICHA ZA MATUKIO: https://creatormeetup.pixieset.com/cr...
DHAMIRA
Content creator tupo busy na muda mwingi tunatumia kutengeneza content. Ilikua ni shauku yetu kubwa kufanya event ya kukutanisha Content Creator wa Tanzania na kushare mengi, kunnetwork na kujifunza, yalikua mawazo na hatimaje mkakati kisha tukio kamili.
ILIANZAJE
Wiki nne Zilizopita tulikutana Mimi na Richstar wakati wa maongezi yetu ya kawaida tukaibua wazo hili na hatimaye tukakubaliana kwamba tufanye event ya kufunga mwaka na tukutane na Creators wenzetu, mikakati ikaanza na tukafanya maandalizi yote muhimu.
EVENT IMEFANYIKA
Hatimaye Jana Jumamosi Tar 23 Dec tumefanikiwa Kufanya Events yetu CREATOR MEETUP 2023 iliyohudhuriwa na zaidi ya watu 50+ wakiwa possitive wamejifunza, wametufundisha, tumetengeneza Nertwork mpya, tumekula na kunywa kwa pamoja kama Creators.
SHUKRANI
Shukran za dhati kwa wote waliohudhuria event hii muhimu kwetu lakini kipekee tunashukuru uongozi na timu za Joel Media NA Ricstar, Watu waliotusapoti Abrah studios, Baraka Mafole, Arnold Tibaijuka, shukran Seedspace kwa kutoa ushirikiano kila nafasi na muda wenu katika kukamilisha event hii.
SPEAKERS
Kwa Umuhimu wake tunanapenda Kuwashukuru Speakers Wote kwa madini na ushirikiano wao Gillsent, Temidayo, Snashtz, Mafole, Joel na Richstar wageni waalika Amosi Nyanda, Prosper Mungure na Sameja na wengine wengi
Premium Courses: https://joelmediaeducation.com/
Follow me on
Instagram: ✅️ https://bit.ly/3s2ca2z
Instagram: ✅️ https://bit.ly/4anDUPP
Facebook: ✅️ https://bit.ly/48ZjYTc
Email: ✅️ [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: