ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Jinsi ya Kuanza Filmmaking na Kutengeneza Content za Video, Mambo ya Kuzingatia

Автор: Joel Media

Загружено: 2023-07-16

Просмотров: 1509

Описание: Premium Courses: https://joelmediaeducation.com/

JOEL MEDIA CONTENT CREATOR MASTER CLASS

Unataka kuwa Filmmaker/Video Content Creator? Ulishawahi kujaribu ukashindwa? Hujui utaanzia wapi? Umeshaanza unataka kuboresha content zako? Au Pengine Hujui chochote Kuhusu Filmmaking unataka kupata uelewa na faida zake? BASI DARASA HILI NI KWAAJILI YAKO NA SI LA KUKOSA.

Tupo katika Kipindi cha Digital Marketing kipindi ambacho ili uuze bidhaa au huduma unatakiwa kuwafikia watu wengi na Video content ni moja ya njia effective ya kufanya hivyo, usichukulie poa Videos, ni powerful unaweza kujenga ushawishi na empire kubwa online kupitia videos, I mean it kwasababu nimeshafanya hivyo kwa miaka kadhaa sasa.

KUHUSU MASTER CLASS
Hili ni darasa ambalo ntajikita Kujibu Maswali Muhimu kuhusiana na Namna unavyoweza kuanza Kutengeneza Content za Videos Kuanzia Mwanzo Mpaka Mwisho ili kutangaza, kukuza biashara yako na kuongeza mauzo, au kufanya kama career kwa kuwafanyia kazi wateja wako na kutengeneza kipato.
Mawanda ya Darasa Hili:
1. Je Kuna Fursa katika Industry ya Filmmaking? Kama zipo ni Zipi?
2. Kwanini Uchague Kujifunza Filmmaking/Video Creation na sio content zingine?
3. Je Najitaji Uwekezaji gani ili kufanya Filmmaking?
4. Vifaa gani Nahitaji Kuwa navyo ili kujifunza na Kufanya Filmmaking?
5. Je ni sawa Kutumia simu kutengeneza Content za Video/Filmmaking? Na Simu gani inafaa?
6. Itakuchukua muda gani Kujifunza na Kumaster Ujuzi wa Filmmaking?
7. Je nini nifanye baada ya kujifunza Filmmaking?
8. Nitawezaje Kuzungumza na mteja na Kupanga bei?
9. Ntapataje Mteja wa kwanza wa kumfanyia kazi?
10. Maswali ya wahudhuriaji wa darasa.
MASTER CLASSS HII ITAFANYIKA LIVE KATIKA YOUTUBE CHANNELI YA JOEMEDIAGROUP JUMAPILI JULY 16 2023 KUANZIA SAA 2:00 USIKU USIKOSE.

Follow @joelmedia @joelmediatz

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jinsi ya Kuanza Filmmaking na Kutengeneza Content za Video, Mambo ya Kuzingatia

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Mafunzo ya Bure ya  Graphics Design  2024 Starter Course

Mafunzo ya Bure ya Graphics Design 2024 Starter Course

Unawezaje kuwa Full-Time Content Creator na kupata kipato

Unawezaje kuwa Full-Time Content Creator na kupata kipato

Zingatia haya Unaponunua Computer kwa Matumizi Binafsi, Ofisi na Creative Industry Kwa Umuhimu zaidi

Zingatia haya Unaponunua Computer kwa Matumizi Binafsi, Ofisi na Creative Industry Kwa Umuhimu zaidi

Jinsi ya Kuji Record Videos za YouTube kwa kutumia simu

Jinsi ya Kuji Record Videos za YouTube kwa kutumia simu

MAMBO NANE MUHIMU UNAPOTAKA KUANZISHA BIASHARA YA KUPIGA PICHA NA VIDEO.

MAMBO NANE MUHIMU UNAPOTAKA KUANZISHA BIASHARA YA KUPIGA PICHA NA VIDEO.

Jinsi ya Kutengeneza Sheet Ya Mapato na Matumizi ya Pesa Katika Biashara yako

Jinsi ya Kutengeneza Sheet Ya Mapato na Matumizi ya Pesa Katika Biashara yako

Как заговорить на любом языке? Главная ошибка 99% людей в изучении. Полиглот Дмитрий Петров.

Как заговорить на любом языке? Главная ошибка 99% людей в изучении. Полиглот Дмитрий Петров.

Jinsi ya Kufanya GRAPHICS DESIGN IKULIPE, Njia za Kujifunza,  Zingatia haya, Kozi za Bure 01

Jinsi ya Kufanya GRAPHICS DESIGN IKULIPE, Njia za Kujifunza, Zingatia haya, Kozi za Bure 01

Joel Nanauka | Namna ya kutimiza malengo 1 | THE GATES TV

Joel Nanauka | Namna ya kutimiza malengo 1 | THE GATES TV

Полная схема ведения Reels в 2026

Полная схема ведения Reels в 2026

Jinsi ya Kushoot Video Cinematic Kwa kutumia Smartphone

Jinsi ya Kushoot Video Cinematic Kwa kutumia Smartphone

Чем ОПАСЕН МАХ? Разбор приложения специалистом по кибер безопасности

Чем ОПАСЕН МАХ? Разбор приложения специалистом по кибер безопасности

Пора запасаться наличкой? / Куда ехать доживать? / Курс доллара в конце года || Дмитрий Потапенко*

Пора запасаться наличкой? / Куда ехать доживать? / Курс доллара в конце года || Дмитрий Потапенко*

Генерация видео на АВТОМАТЕ | Безлимитно и полностью Бесплатно | Пошаговый Гайд

Генерация видео на АВТОМАТЕ | Безлимитно и полностью Бесплатно | Пошаговый Гайд

How To Become A Content Creator - 10 Easy Steps

How To Become A Content Creator - 10 Easy Steps

KUTENGENEZA CONTENT NI NINI?

KUTENGENEZA CONTENT NI NINI?

Я попробовал все нейросети для видео! Какую выбрать? МОЙ ТОП

Я попробовал все нейросети для видео! Какую выбрать? МОЙ ТОП

Jinsi ya kutumia Smartphone kama Microphone

Jinsi ya kutumia Smartphone kama Microphone

SWAHILI CHALLENGE|| KENYA VS TANZANIA VS DR CONGO #tanzania, #kenya, #congo, #swahili, #accenttag

SWAHILI CHALLENGE|| KENYA VS TANZANIA VS DR CONGO #tanzania, #kenya, #congo, #swahili, #accenttag

A DAY IN A LIFE OF A TANZANIAN CONTENT CREATOR

A DAY IN A LIFE OF A TANZANIAN CONTENT CREATOR

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]