“UCHUMI UNAKUA KWENYE TAKWIMU, MFUKONI HAMNA KITU – SHIGONGO ATOA KAULI NZITO BUNGENI”
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 56
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa licha ya takwimu kuonyesha ukuaji wa uchumi wa Tanzania, wananchi wengi bado hawana fedha za kutosha mfukoni. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Shigongo amesisitiza umuhimu wa Serikali kuunda fursa za kiuchumi zitakazowawezesha wananchi kupata kipato endelevu na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa.#EricShigongo#BungeLaTanzania #UkweliWaUchumi#UchumiWaTanzania#MaishaYaWananchi
#FedhaMfukoni#Dodoma
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: