MEDICOUNTER | Fahamu kuhusu uvimbe kwenye kizazi na matibabu yake
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 45
Описание: Kuna aina nyingi za vimbe kwenye kizazi lakini zile ambazo zinatambulika sana ni ambazo mara nyingi hujitokeza katika misuli ya kizazi na ni vivimbe avyo si vya saratani, fuatilia makala hii kujua aina mbalimbali za vimbe kwenye kizazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: