MAFANIKIO YA SEKTA YA MADINI INAHITAJI TAMISA IMARA.
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2025-05-16
Просмотров: 88
Описание:
Katibu Mkuu wa Wizara ya MADINI, Mhandisi Yahya Samamba akimuwakilisha Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo kwenye uzinduzi wa kamati ya masoko na mawasiliano ya taasisi ya TAMISA (Tanzania Mining industry suppliers association) amesema “mwaka 2023/2024 sekta ya Madini Kwa ujumla wake na kwa kushirikiana na TRA na Halmashauri ilikusanya shilingi trilioni 3.2”, amesisitiza Katibu Mkuu kwa kusema “ile (hela) hatukuweza kuifikia na hatutoweza kuifikia iwapo hatutakuwa na TAMISA imara ndani ya Tanzania”.
Awali ya yote Katibu Mkuu, Mhandisi Yahya Samamba alianza hotuba yake kwa msisitizo kuwa sio maneno yake bali hotuba hiyo ni maneno ya Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde.
Pia Katibu Mkuu alimpongeza Mheshimiwa Waziri kwa maono yake mazuri yenye tija mapana kwa Watanzania maana ujenzi wa TAMISA ni maono yake mwenyewe Mheshimiwa Waziri.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: