ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde awaonya wanaotorosha Madini 'Tutawakama wengi sana'

Автор: SamMisago

Загружено: 2025-11-21

Просмотров: 465

Описание: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kuwa licha ya juhudi kubwa za Serikali katika kuimarisha usimamizi wa sekta ya madini, bado kumekuwa na mianya ya utoroshwaji wa madini nchini. Amesema wizara kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama inaendelea kuimarisha mifumo ya udhibiti ili kuhakikisha wote watakaokamatwa kwa tuhuma hizo wanachukuliwa hatua kali za kisheria.

Mavunde amesema hayo leo Novemba 21, 2025 alipotembelea kiwanda kipya cha Zhong Zhong cha uyeyushaji wa madini ya kopa na nikel kilichopo Kata ya Zamahero, wilayani Bahi Mkoani Dodoma.

Ameeleza kuwa Serikali imekuwa ikipoteza mapato kutokana na tamaa za watu wachache wanaojihusisha na utoroshwaji wa madini.

Aidha, amebainisha kuwa kwa sasa Wizara ya Madini inachangia asilimia 10 ya pato la Taifa, ongezeko ambalo linatokana na mabadiliko ya sheria ya mwaka 2017 pamoja na uanzishwaji wa masoko ya madini na vituo vya ununuzi.

Katika hatua nyingine, Mavunde amesema Serikali haitatoa leseni kubwa za uchimbaji wa madini kwa makampuni ya ndani endapo hayatawasilisha mpango madhubuti wa uongezaji thamani madini kabla ya kuyapeleka sokoni.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Wachimbaji Wadogo na wa Kati, Thobias Kente, amesema Serikali imeboresha mazingira ya uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo, hatua iliyochangia ongezeko la uzalishaji nchini.

Naye Msemaji wa Zhong Zhou, Hassan Ngaiza, amesema kuanzishwa kwa kiwanda hicho kutachangia kuongeza thamani ya madini pamoja na kutoa ajira kwa wananchi wa eneo hilo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde awaonya wanaotorosha Madini 'Tutawakama wengi sana'

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Печально! Бабалево прибыл к реке, унесшей жизни двух человек в Кигоме, чтобы выразить соболезнова...

Печально! Бабалево прибыл к реке, унесшей жизни двух человек в Кигоме, чтобы выразить соболезнова...

😱 MOJTABA AMECHUKUA MAAMUZI YA KIUME! AMETOA AMRI MPYA |  WAMEMUUA MKEWE, BABA, MTOTO NA SHEMEJI

😱 MOJTABA AMECHUKUA MAAMUZI YA KIUME! AMETOA AMRI MPYA | WAMEMUUA MKEWE, BABA, MTOTO NA SHEMEJI

О! Мать рассказывает Бабалево, как она утонула в реке с месячным ребенком на спине...

О! Мать рассказывает Бабалево, как она утонула в реке с месячным ребенком на спине...

RAIS SAMIA ATOA NENO KUHUSU TUME YA UCHUNGUZI UHAMAJI NGORONGORO ATOA MAAGIZO KWA WAZIRI MKUU

RAIS SAMIA ATOA NENO KUHUSU TUME YA UCHUNGUZI UHAMAJI NGORONGORO ATOA MAAGIZO KWA WAZIRI MKUU

KING'AMUZI ALIVYOFUKUZWA HOTELINI, AMCHANA MENEJA WAKE KUMPIGISHA PICHA/ APELEKWA POLISI

KING'AMUZI ALIVYOFUKUZWA HOTELINI, AMCHANA MENEJA WAKE KUMPIGISHA PICHA/ APELEKWA POLISI

DW KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO ALHAMISI..VITA BADO NIMOTO

DW KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO ALHAMISI..VITA BADO NIMOTO

Организация Babalevo предоставляет средства шейхам 45 мечетей Кигомы для обеспечения их существов...

Организация Babalevo предоставляет средства шейхам 45 мечетей Кигомы для обеспечения их существов...

Babalevo: Hata wakiniita Mbunge omba omba sitaacha kuwapigania Wananchi wangu wa Kigoma sioni ubaya

Babalevo: Hata wakiniita Mbunge omba omba sitaacha kuwapigania Wananchi wangu wa Kigoma sioni ubaya

HIZI HAPA CHANGAMOTO ZINAZOITESA HIFADHI YA NGORONGORO

HIZI HAPA CHANGAMOTO ZINAZOITESA HIFADHI YA NGORONGORO

BALAA MADELEKA AFUNGUKA HAYA ''NAIJUA TUME VIZURI'/SERIKALI INAUWEZO WA KUZUIA HAYA YANAYOENDELEA''

BALAA MADELEKA AFUNGUKA HAYA ''NAIJUA TUME VIZURI'/SERIKALI INAUWEZO WA KUZUIA HAYA YANAYOENDELEA''

ELIMU YA FEDHA

ELIMU YA FEDHA

DKT. MWINYI AZINDUA HOTELI KUBWA YA KIFAHARI - KIWENGWA

DKT. MWINYI AZINDUA HOTELI KUBWA YA KIFAHARI - KIWENGWA

"Mogą ominąć weto prezydenta, złamią konstytucję". Bosak o dyskusji ws. SAFE

Mwijaku kajichanganya vibaya kwa Dotto Magari huu moto ukiwaka kuuzima itakuwa kazi kweli kweli

Mwijaku kajichanganya vibaya kwa Dotto Magari huu moto ukiwaka kuuzima itakuwa kazi kweli kweli

MJINI SHULE, EPUKA MATAPELI (EP 08)

MJINI SHULE, EPUKA MATAPELI (EP 08)

Archeolodzy otworzyli zapieczętowany grób Henryka VIII — odkrycie SZOKUJE

Archeolodzy otworzyli zapieczętowany grób Henryka VIII — odkrycie SZOKUJE

WASANII HAWA WAMWAGA MACHOZI KWENYE JUKWAA NA KUSHINDWA KUZUNGUMZA/MAJONZI UWANJA MZIMA/INASIKITISHA

WASANII HAWA WAMWAGA MACHOZI KWENYE JUKWAA NA KUSHINDWA KUZUNGUMZA/MAJONZI UWANJA MZIMA/INASIKITISHA

Inside the Mega Breakwater: How China Built a 20km Sea Wall Against Powerful Ocean Storms

Inside the Mega Breakwater: How China Built a 20km Sea Wall Against Powerful Ocean Storms

WALIOHUSIKA NA KIFO CHA MC PILIPILI HAWATOKAA KWA AMANI

WALIOHUSIKA NA KIFO CHA MC PILIPILI HAWATOKAA KWA AMANI" MPOKI AWATAKA POLISI WAWAPATE HARAKA......

Wojna w Polsce to kwestia czasu? Jak chronić majątek, siebie i bliskich - Radek Pogoda

Wojna w Polsce to kwestia czasu? Jak chronić majątek, siebie i bliskich - Radek Pogoda

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]