VIJANA WA GEITA KATIKA MDAHALO WA NELICO WAMEELEZA SABABU ZA KUPIGA KURA OKTOBA 29.
Автор: Storm FM Geita
Загружено: 2025-10-06
Просмотров: 104
Описание:
Vijana kutoka makundi mbalimbali ikiwemo vyuo na shule za sekondari katika Manispaa ya Geita Mkoani Geita wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu ujao ili kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura.
Vijana hao wamebainisha hayo kwenye Mdahalo kuhusu umuhimu wa vijana kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, ulioandaliwa na Shirika la NELICO kwa ushirikiano na wadau mbalimbali wa maendeleo ya vijana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: