Njia za tano za kuingiza kipato kwa Graphics Designer
Автор: Joel Media
Загружено: 2025-03-28
Просмотров: 614
Описание:
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini
Tuma Ujumbe Whatsapp ✅️: https://bit.ly/4bYi7OL
🎨 Unapenda Graphics Design lakini hujui jinsi ya kuingiza kipato? Katika video hii, nitakuonyesha njia 5 bora za kutengeneza pesa ukiwa Graphics Designer – hata kama bado ni mwanzo! 🚀💰
🔹 Mambo Utakayojifunza:
✅ Jinsi ya kupata kazi za freelance kama Graphics Designer
✅ Kutengeneza na kuuza templates na mockups mtandaoni
✅ Kufanya kazi na kampuni au biashara binafsi
✅ Kuanza biashara yako ya uchapishaji wa mabango na bidhaa za kidigitali
✅ Kutengeneza maudhui ya mafunzo na kuuza kozi mtandaoni
⚡ BONUS: Nitakupa mbinu za kupata wateja wa kudumu na jinsi ya kujitangaza kwa ufanisi!
👉 Usisahau KUSUBSCRIBE 🔔 kwa mafunzo zaidi ya Graphics Design na mbinu za kutengeneza kipato mtandaoni!
Follow me on
Instagram: ✅️ https://bit.ly/3s2ca2z
Instagram: ✅️ https://bit.ly/4anDUPP
Facebook: ✅️ https://bit.ly/48ZjYTc
Email: ✅️ [email protected]
#GraphicsDesign #NjiaZaKuingizaPesa #Freelancing #JinsiYaKupataWateja #DesignBusiness #GraphicDesignHacks #KipatoMtandaoni #WorkFromHome #Fiverr #Upwork
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: