Jifunze Matumizi ya Photoshop kwa mara ya kwanza Adobe Photoshop Interface
Автор: Joel Media
Загружено: 2022-01-31
Просмотров: 20722
Описание:
Adobe photoshop ni software muhimu kwa kila designer, Graphics designer, 3d artist/designer, Motion designer, Web designer, Photographer, videographer hivyo ni muhimu sana kujifunza software hii ikiwa upo au unategemea kuingia katika tasnia ya ubunifu wa kidigitali.
Katika kozi hii fupi nimekufunisha kila unachotakiwa kujua kuhusu Interface ya Photoshop pamoja na namna ya kuanza mpaka kutoa design yako kwaajili ya matumizi, hivyo katika video hii pekee unaweza kutoka na ujuzi mkubwa sana hata kama hujawahi kabisa kutumia software hii. Hata hivyo kwa yeyote ambaye ana uzoefu wa kati na anaifahamu software hii anaweza kuongeza baadhi ya vitu muhimu vya kufanya ili kuwa organized na kurahisisha Zaidi ufanyaji kazi kwa kutumia Photoshop
Kama unahitaji kuongeza Zaidi ujuzi wa kutumia software hii basi usisite kubonyeza link hapa chini, katika link hiyo nmekuandalia kozi nzuri wewe ambaye unaanza kujifunza Photoshp nimekuweke Zaidi ya video 50 ambazo utajifunza hatua kwa hatua na kupata ujuzi mkubwa sana wa kutumia software ya Adobe Photoshop sambamba na mifano ya kutosha
Bonyeza link hii kujifunza:
My Premium Course: https://app.gumroad.com/joemediagroup
Jifunze Graphics Design na creative skills zingine kupitia skillshare: https://skl.sh/3ASrwFj
Follow me on
Instagram: / joemediagroup_
Facebook https://linktr.ee/joemediagroup_
Twitter: https://linktr.ee/joemediagroup_
Email: [email protected]
#photoshop #photoshoptutorial #adobephotoshopcc #sky #skyreplacement #skyediting #photoediting #photoedit #joemediagroup #joelkadaga #photoshopinterface #adobe #howtostartusingphotoshop
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: