TABORA WATANGAZA VITA DHIDI YA UTAPIAMLO
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 31
Описание:
TABORA: KWA mujibu wa ripoti za kitaifa za lishe nchini Tanzania, takribani asilimia 30 ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na tatizo la udumavu.
Hali hiyo pia inaonekana katika baadhi ya mikoa ikiwemo Tabora, Geita na Iringa ambapo changamoto ya lishe duni imeendelea kuathiri ukuaji na maendeleo ya watoto.
Kutokana na hali hiyo, serikali imeendelea kuongeza juhudi za kukabiliana na changamoto ya lishe kupitia utekelezaji wa programu na miradi mbalimbali inayolenga kuboresha afya na ustawi wa watoto pamoja na jamii kwa ujumla.
Na Michael Samwel
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: