DODOMA YARUHUSU MALORI KUPITA RING ROAD kwa MUDA KUPISHA MATENGENEZO ya MFUMO wa MAJI TAKA..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 315
Описание:
Mohammed Zengwa
DODOMA YARUHUSU MALORI KUPITA RING ROAD kwa MUDA KUPISHA MATENGENEZO ya MFUMO wa MAJI TAKA..
Dodoma — Tanzania National Roads Agency (TANROADS) imeruhusu maroli kupita katika barabara ya mzunguko (Ring Road) kwa muda kupisha matengenezo ya miundombinu ya mfumo wa maji taka yanayoendelea katika barabara ya Kipande cha CBE – Chako ni Chako jijini Dodoma.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Zuhura Amani, ambaye amesema hatua hiyo inalenga kurahisisha utekelezaji wa kazi za ukarabati wa miundombinu ya maji taka zinazofanywa na Dodoma Urban Water Supply and Sanitation Authority (DUWASA).
Amesisitiza kuwa madereva wa maroli wataelekezwa kutumia barabara ya Ring Road kwa muda wakati kazi hizo zinaendelea, huku akiwataka madereva wa magari madogo kutumia njia mbadala ndani ya jiji la Dodoma ili kupunguza msongamano na kurahisisha shughuli za matengenezo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: