PIKIPIKI ZA MAJI SAFI
Автор: TANZANIA YA SAMIA
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 12
Описание:
SERIKALI YAKABIDHI PIKIPIKI 216 KUIMARISHA HUDUMA YA MAJI VIJIJINI
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @samia_suluhu_hassan imekabidhi pikipiki 216 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.2 kwa ajili ya kuimarisha uendeshaji na matengenezo ya mifumo ya maji vijijini.
Kupitia makabidhiano hayo, Serikali imelenga kuongeza ufanisi wa watumishi kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) pamoja na Jumuia za Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs), ili kuhakikisha huduma ya maji safi na salama vijijini inaendelea bila kukatika.
'
📍YouTube: @tzs_ya_samia
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: @tzs_ya_samia || @dirayasamia_tz || @tanzaniayasamia__tz || @tzs_media
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || @tzs_media || @nyundo_za_samia
'
#TanzaniaYaSamia
#DIRAyaSamia
@ccmtanzania @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan
#SamiaSuluhuHassan #IkuluTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: