ZIARA RAIS UAE
Автор: TANZANIA YA SAMIA
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 38
Описание:
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameanza ziara ya kikazi hapa Dubai, UAE kwa kufanya mazungumzo na viongozi na wadau wa kimataifa.
Katika ratiba ya leo, Rais Samia anakutana na Mhe. Gaston Browne, Waziri Mkuu wa Antigua and Barbuda, pamoja na kufanya mazungumzo ya pande mbili na Bi. Shaikha Al Nuwais, Katibu Mkuu wa Shirika la Utalii la Umoja wa Mataifa (UN Tourism), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha ushirikiano, diplomasia ya kiuchumi na kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja nchini.
'
📍YouTube: @tzs_ya_samia
📍Facebook: tzs.yasamia || DiraYaSamiaTZ
📍Instagram: @tzs_ya_samia || @dirayasamia_tz || @tanzaniayasamia__tz || @tzs_media
📍TiKToK: Tanzania_Ya_Samia || @tzs_media || @nyundo_za_samia
'
#TanzaniaYaSamia
#DIRAyaSamia
@ccmtanzania @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan
#SamiaSuluhuHassan #IkuluTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: