Ummy Mwalimu: Marufuku kuzuia maiti Hospitali za Serikali
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-01-20
Просмотров: 1674
Описание:
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amemtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye ni mbunge wa Tanga Mjini kueleza anawasaidiaje watu wasio na uwezo ambao wanaoguza wagonjwa ambapo ikitokea bahati mbaya wanafariki dunia wanashindwa kugomboa maiti.
Akijibu suala hilo, Waziri Ummy amezitaka hospitali zote za Serikali kuacha kuzuia maiti za Watanzania," narudia mara tatu marufuku kuzuia maiti haya ndio maelekezo ya serikali ".
Baada ya maelezo hayo,Makonda akiwa mbioni kuhitimisha hotuba yake alimpongeza Waziri Ummy akisema amefarijika kusikia msimamo huo na kuahidi kulisimamia jambo hilo kwa nguvu zote.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: