Kwa uwezo wa Mungu
Автор: Wahome Martin
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 123
Описание:
Huu ni wimbo ambao unatupa Imani katika Nguvu zake Mwenyezi Mungu. Anatuongoza maishani kama ilivyo kwenye Zaburi 60:12. Msaada wake Mungu utatupa ushindi hata palipo na vikwazo, ataziondoa pingamizi kusudi watu wake wapate kheri. Jiunge nami katika kumtukuza Muumba wetu.
#swahiliworshipsongs #swahiligospel #gospelkenya #kenyanmusic #kenyangospelmusic #tanzaniagospel # • Kwa uwezo wa Mungu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: