Скачать
Siku Moja ndani ya nyumba ya Mungu
Автор: Wahome Martin
Загружено: 2023-05-20
Просмотров: 2698
Описание:
Huu ni wimbo ambao unaotafuta Uwepo wa Mungu.
Alipo Mungu ndipo palipo na vyote vya muhimu. Yeye ndiye mwenye uwezo wa kumridhia mja wake katika mahitaji ya moyo wake na pia kumpa kheri zaidi ya tafakari ya wanadamu
Siku moja ndani ya nyumba ya Mungu, ni bora kuliko siku elfu mahali penginepo
Jiunge nami katika nyimbo za kumtukuza Mungu, sala na kumsujudu pia
@ / @wahomemartin
#worshipmusic
#gospel
#sikumoja ndani ya nyumba ya mungu
#swahilipraiseandworship
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: