Washukiwa watatu walioteketeza wazee Kisii wafungwa miaka 40 korokoroni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-01-22
Просмотров: 24252
Описание: Makakama ya Kisii imewahukumu watu watatu waliopatikana na hatia ya kuwauwa kinyama kina mama wanne katika eneo la Marani kifungo cha miaka 40 jela kila mmoja. Aidha mahakama hiyo pia imemhukumu msshtakiwa mwingine kifungo cha miaka 15 jela. wanne hao walipatikana na hatia ya mauaji ya wazee hao waliodaiwa kuwa wachawi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: