MKE MKUBWA AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO NA MKE MDOGO/MUME AKATAA KULALA KWA MKE MDOGO
Автор: Geah Habibu
Загружено: 2019-07-03
Просмотров: 249489
Описание:
Mambo ya uke wenza yameleta badalaa na kupelekea hekaheka baada ya Mke Mkubwa kumwagiwa mafuta ya Taa na Mke mwezie kisa Mume halali kwa Bi mdogo..!Wanawake hao ni wafanyabiashara za kupika vitafunio ambapo bi Mkubwa kupika vitumbua na bi Mdogo hupika Mihogo ya kukaanga,Na Bi mdogo huyo alitumia mafuta ya kukaangia mihogo kumwagia mwezie na Lengo lake hasa alikuwa ammwagie usoni lakini kwa bahati mbaya yakammwagikia Kwenye mkono na kwenye mbavu.
Tizama hapa kisa kizima #Hekaheka #Geahhabibu #GeahTv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: