MKE AMKABA MUMEWE HADI KUFARIKI...!!
Автор: Geah Habibu
Загружено: 2019-05-06
Просмотров: 228111
Описание:
Tukio hili lilitokea Mwananyamala Jijini Dar es salaam ambapo Mke alidaiwa kumuua Mumewe kwa kumkaba.Kwa mujibu wa majirani wawili hao walikuwa na tabia za kugombana kila mara na kupatana wenyewe, lakini siku hiyo walivyogombana ndipo ikadaiwa Mwanamke alimkaba Mumewe hadi kufariki.Tizama kisa kizima hapa majirani wakielezea
#Hekaheka #Geahhabibu #GeahTv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: