Upinzani; Waokoeni vijana waliokwama Urusi
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-08
Просмотров: 234
Описание:
Viongozi wa muungano wa Upinzani wanataka serikali iwarudishe nchini Wakenya waliokwama nchini Urusi. Wakiongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Naibu kiongozi wa Chama cha Jubilee Fred Matiang’i, viongozi hao walionyesha wasiwasi wao kuhusu idadi inayoongezeka ya vijana waliopoteza maisha yao katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: