MFANANO uliopo kati ya MBINGU na KANANI (Tabia ZETU na za Wana WAISRAELI) JANGWANI⁉️
Автор: Trust the gospel ⏱️
Загружено: 2025-03-08
Просмотров: 113
Описание:
UKOSEFU WA IMANI JUU YA MUNGU HUFANYA KUONA MBINGUNI KUINGIA NI KAZI NA HAIWEZEKANI.
MASWALI
1.Je waitazamaje mbingu wewe Uliye Itwa na MUNGU ?
2.Kwanini unamashaka na wasi wasi Juu ya Mbingu ?
NI Dhambi iliyo ndani yako na ukosefu wa imani ndio husababisha mashaka.
Ndivyo wana waisraeli walivyoitazama KANANI kwasababu ya Kuto kuamini kwao wanatazama wanefili
Nyakati hizi ni za mwisho Muamini Mungu ukathibitike.
#yesu #mungu #injili #jesus #sign #foryou #god #video #africa #unyakuo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: