TBC1: WALIOBOMOLEWA KIPUNGUNI KULIPWA MAMILIONI YA FIDIA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-02-11
Просмотров: 1850
Описание:
TBC1: WALIOBOMOLEWA KIPUNGUNI KULIPWA MAMILIONI YA FIDIA
Wananchi wa eneo la Kipunguni na maeneo mengine waliobomolewa na watakaoendelea kubomolewa nyumba zao kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, watalipwa mamilioni ya fidia.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amewahakikishia wananchi kwamba wasiwe na wasiwasi kwa sababu serikali inalishughulikia suala hilo.
Install #GlobalPublishersApp
Android: http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: http://apple.co/2Assf4M
Subscribe / uwazi
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: