ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mafrater Bukoba walivyoweka kiapo cha Useja mbele ya Askofu Mwijage/ "Tunzeni viapo vyenu"

Автор: Radio Mbiu

Загружено: 2024-03-15

Просмотров: 3359

Описание: Wakristo wametakiwa kuwa waaminifu kwa kusema ukweli daima na kukemea mambo yasiyofaa katika jamii na kuwaonya wanaoenda kinyume na Mungu pamoja na kuwasihi Mafrater kushika njia ya Kristo bila kugeuka nyuma.

Wito huo umtetolewa na Askofu Jovitus Mwijage, Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba wakati wa homilia yake katika adhimisho la Misa takatifu ya kuweka Kiapo cha Useja kwa Mafrater watano Kabla ya Misa ya Ushemasi Jimboni Bukoba.

Katika homilia yake Askofu Mwijage amesema kuwa Mungu ndiye pekee mwenye haki,
Kwa mfano wa wayahudi walimuua Kristo kwa kutofumbia ukweli kwa dhuluma walizozifanya vivyohivyo waamini wanatakiwa kusimama kidete na kukemea maovu yanayotendeka katika jamii inayyotuzunguka.

Aidha Askofu Mwijage amesema kuwa Jamii ya sasa haipendi wanaozungumza ukweli kwani kwa kuwa na malengo yanayoingilia maslahi yao, na kuongeza kwa kusema kuwa msema kweli atazushiwa na kuchafuliwa jina lake kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristo mwenyewe na kuendelea kuwasihi Mafreater walioweka kiapo hicho kuwa imara kwa kufuata njia ya Kristo bila kurudi nyuma na kutakiwa kutembea kifu mbele wakitambua kuwa wanamtagza Kristo.

Mafrater walioweka kiapo cha Useja Jimboni Bukoba kabla ya Misa takatifu ya Ushemasi ni Frater Allanus Kabobo wa Parokia (Kishogo), Frater Beatus Kaijage Parokia Kagondo, Frater ⁠Cassius Rwelamiza Parokia Ngote, Frater Prudence Mujwahuzi Parokia Minziro na Frater Willbrord Ndyamukama Parokia ya Itahwa, wote wanatarajiwa kupatiwa Daraja ya Ushemasi kesho Marchi 16 2024.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mafrater Bukoba walivyoweka kiapo cha Useja mbele ya Askofu Mwijage/ "Tunzeni viapo vyenu"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

РФ внезапно меняет тактику / Путин обратился к ООН?

РФ внезапно меняет тактику / Путин обратился к ООН?

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR

KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR

KAULI YA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA, MAUAJI YA MTOTO ASIMWE, UTATA KUHUSU PAROKO MSAIDIZI KUTUHUMIWA

KAULI YA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA, MAUAJI YA MTOTO ASIMWE, UTATA KUHUSU PAROKO MSAIDIZI KUTUHUMIWA

Mafrater wa Jimbo la Bukoba waweka kiapo cha Useja mbele ya Askofu Mwijage, kabla ya Ushemasi.

Mafrater wa Jimbo la Bukoba waweka kiapo cha Useja mbele ya Askofu Mwijage, kabla ya Ushemasi.

Matukio ya Ushemasi Jimboni Bukoba

Matukio ya Ushemasi Jimboni Bukoba

3 сыра, которые спасают мышцы и ноги после 50 лет | БЕРЕГИ ЗДОРОВЬЕ

3 сыра, которые спасают мышцы и ноги после 50 лет | БЕРЕГИ ЗДОРОВЬЕ

Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish

Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish

Божественная литургия в 17-ю годовщину интронизации Святейшего Патриарха Кирилла

Божественная литургия в 17-ю годовщину интронизации Святейшего Патриарха Кирилла

Panga pangua ya Askofu Mwijage Bukoba/ Atangaza Parokia teule 2 mpya/ Upadrisho Bukoba 2024

Panga pangua ya Askofu Mwijage Bukoba/ Atangaza Parokia teule 2 mpya/ Upadrisho Bukoba 2024

MAPOKEZI  YA ASKOFU MTEULE MWIJAGE KUTOKA PAROKIA RWAMISHENYE MPAKA KANISA KUU LA JIMBO LA BUKOBA

MAPOKEZI YA ASKOFU MTEULE MWIJAGE KUTOKA PAROKIA RWAMISHENYE MPAKA KANISA KUU LA JIMBO LA BUKOBA

Daily Mass at the Manila Cathedral - February 17, 2026 (7:30am)

Daily Mass at the Manila Cathedral - February 17, 2026 (7:30am)

Божественная литургия 16 февраля 2026 года, Князь-Владимирский собор, г. Санкт-Петербург

Божественная литургия 16 февраля 2026 года, Князь-Владимирский собор, г. Санкт-Петербург

Sun, Feb 15 - Holy Rosary from the National Shrine of The Divine Mercy

Sun, Feb 15 - Holy Rosary from the National Shrine of The Divine Mercy

MAASKOFU WAMTEUA MRITHI WA PADRE PAULO CHIWANGU  IDARA YA LITUJIA TEC,ATAMBULISHWA KWA WANALITUJIA

MAASKOFU WAMTEUA MRITHI WA PADRE PAULO CHIWANGU IDARA YA LITUJIA TEC,ATAMBULISHWA KWA WANALITUJIA

ALICHOSEMA ASKOFU NDIZEYE KWENYE MAHAFALI YA PILI SEMINARI YA MWENDAKULIMA 13 JUNE 2024

ALICHOSEMA ASKOFU NDIZEYE KWENYE MAHAFALI YA PILI SEMINARI YA MWENDAKULIMA 13 JUNE 2024

Messe de Clôture de L'UCB Cotonou. L'eucharistie 🙏🏽

Messe de Clôture de L'UCB Cotonou. L'eucharistie 🙏🏽

HVC 2026-02-15 - Liturgy - The Meeting of Our Lord - Сретение Господне, Мясопустное воскресенье

HVC 2026-02-15 - Liturgy - The Meeting of Our Lord - Сретение Господне, Мясопустное воскресенье

Rais Samia Aguswa na Uimbaji wa Kwaya ya Cathedral Bukoba, Atoa Mil.3, Askofu Kilaini Aitangaza

Rais Samia Aguswa na Uimbaji wa Kwaya ya Cathedral Bukoba, Atoa Mil.3, Askofu Kilaini Aitangaza

Askofu Mwijage alivyotoa Ushemasi kwa Mafrater wawili Jimboni Bukoba 2025

Askofu Mwijage alivyotoa Ushemasi kwa Mafrater wawili Jimboni Bukoba 2025

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]