Moto waua watoto wanne wa familia moja Nachingwea, Lindi
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-02-16
Просмотров: 581
Описание:
Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia baada ya chumba walichokuwa wamelala kuteketea kwa moto katika Kijiji cha Mawazo, Kitongoji cha Stendi Mpya, Kata ya Nambambo, wilayani Nachingwea, mkoani Lindi.
Watoto waliopoteza maisha ni Ali Hassan Juma (11), mwanafunzi wa darasa la tano, Shufaa Ali Juma (9), mwanafunzi wa darasa la tatu wakiwa ni watoto wa mwenye nyumba Maua Mshamu Rashidi na wajukuu zake Basrat Zakayo Juma (6), mwanafunzi wa darasa la kwanza na Izdat Boniface (4).
#azamnewsupdates
✍Omary Mikoma
Mhariri| @official_jennifersum
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: