Marekani yaongeza ndege za kivita kumshambulia iran
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 747
Описание:
Hali ya mambo Mashariki ya Kati inaendelea kuwa tete baada ya pande zinazozozana kuendelea kutishiana kuhusu matumizi ya ndege za kivita na mabomu katika mashambulizi yanayoendelea.
Hii leo Marekani imesema itaongeza idadi ya ndege za kivita na mabomu katika operesheni zake dhidi ya Iran, huku Tehran nayo ikijinasibu kuwa itaendelea kupambana kadri inavyoweza na kujibu mashambulizi hayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: