MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU 2022, WILAYANI KARAGWE | MTAKULA, MTAKUNYWA MTAONGEZEKA KILO 10
Автор: Yuboxtv
Загружено: 2022-10-07
Просмотров: 538
Описание:
MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU 2022, WILAYANI KARAGWE | MTAKULA, MTAKUNYWA MTAONGEZEKA KILO 10
Mwenge Wa Uhuru Mkoani Kagera, Leo Oktoba 8, 2022 Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Mheshimiwa JULIETH NKEMBANYI BINYURA ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Wilayani Ngara.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika Uwanja wa mpira wa Nyaishozi Wilayani Karagwe.
Ukiwa Wilayani hapa utakimbizwa Km 76.6 na kutembelea Miradi 4, yenye thamani ya jumla Tsh 394, 334, 383.00.
#mwenge #kagera #ikulumawasiliano
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: