SOKA KIJIWENI 09/10/2023 | Mabishano makali, Simba na Yanga nani mkali kimataifa
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-10-09
Просмотров: 90853
Описание:
Kwa mara ya kwanza, Tanzania imeingiza timu mbili kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL
Timu hizo ni Simba na Yanga.... na tayari droo ya makundi imeshafanyika......
Sasa hapa kijiweni ndani ya jiji la Dar es Salaam, unazuka ubishi wa nguvu, vita ya mashabiki wa Simba na Yanga, kila upande ukivutia kwake.
Ajenda kuu ni nani ana historia nzuri kimataifa, nani atafanya vizuri zaidi msimu huu kimataifa na ni nani aliyembeba mwenzake kwenye michuano hii..
Humu ndani wamo pia Makame (Yanga) na Kisugu (Simba)
#SokaKijiweni ni kila Jumatatu saa 3:30 usiku #AzamSports1HD
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: