ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MBOWE- "WANAOKOSOA SERIKALI WANASTAHILI KUFA! HATUTAJENGA NCHI KWA BUNDUKI"

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-11-09

Просмотров: 211241

Описание: Subscribe    / uwazi  
Kiongozi wa kambi ya upinzani, Mh Freeman Mbowe, alipokuwa Bungeni mjini Dodoma, katika Mkutano wa 9 wa Bunge la 11.

"Katika mazingira ya kwaida ya namna utawala wa nchi yetu ulivyo chama cha Mapinduzi kina dhamana kubwa kwa sababu ndiyo chama kinachozalisha ilani.

"Badala ya kuwa serikali ya Mapinduzi mkaona raha sana kujiita serikali ya Magufuli, na juzi katika ziara Mh Rais amerudia kauli hiyo, akisema CCM Kuna majizi vyama vya siasa kuna majizi, akasema ndiyo sababu yeye anasema serikali ni ya kwake.

"Sasa tunajiuliza hivi tuna serikali ya chama cha mapinduzi, au tuna chama kinachosiamamia serikali yake, ama tuna serikali ya Mtu anayejisimamia mwenyewe?, napata wakati mgumu sana ninaposikia wabunge wa chama cha Mapinduzi wanajinasibu serikali yetu, ameshawaambia serikali ni yake.

"Hatutaisadia nchi hii kwakuwa Wanafki, tutaisaidia nchi hii na serikali hii na wananchi wetu, kwakuwa wakweli, tupongeze pale ambapo tunafikiri kuna haki ya kupongeza, lakini wakati tunapokosea tusipoikemea serikali na kuiambia ukweli, na wale wanaoikosoa serikali wanaonekana wana stahili kufa na kuumizwa, hatutafika.
Subscribe    / uwazi1   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MBOWE- "WANAOKOSOA SERIKALI WANASTAHILI KUFA! HATUTAJENGA NCHI KWA BUNDUKI"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

"Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto" - SILINDE

Джениста Амбана снова в парламенте, атакует тех, кто хвалит правительство

Джениста Амбана снова в парламенте, атакует тех, кто хвалит правительство

KIMEUMANA! MPINA VS MWIGULU BUNGENI

KIMEUMANA! MPINA VS MWIGULU BUNGENI "HUO NI WIZI NA UFISADI, MWIGULU, MBARAWA WAKAMATWE!"

Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni

Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni

Mtiti Tena Bungeni... John Mnyika Afurumushwa Nje ya Bunge na Askari

Mtiti Tena Bungeni... John Mnyika Afurumushwa Nje ya Bunge na Askari

PUTIN AMPONGEZA KIONGOZI MPYA wa IRAN MOJTABA KHAMENEI - ASEMA URUSI ITAENDELEA KUSIMAMA na IRAN...

PUTIN AMPONGEZA KIONGOZI MPYA wa IRAN MOJTABA KHAMENEI - ASEMA URUSI ITAENDELEA KUSIMAMA na IRAN...

MBOWE AFICHUA SIRI ALIVYOTOROKA

MBOWE AFICHUA SIRI ALIVYOTOROKA "NILIPITA NJIA ZA PANYA, SERIKALI IKIJUA NIPO NCHINI"

⚡ЖИРНОВ: Дерзкое обращение Зеленского ПОДНЯЛО ВЕСЬ ЕС! Путин ВНЕЗАПНО ответил по Ирану. СКАНДАЛ С РФ

⚡ЖИРНОВ: Дерзкое обращение Зеленского ПОДНЯЛО ВЕСЬ ЕС! Путин ВНЕЗАПНО ответил по Ирану. СКАНДАЛ С РФ

“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?” – Bashe

“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?” – Bashe

Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

HECHE BUNGENI LEO

HECHE BUNGENI LEO "KWENYE MITANDAO MAMBO YANAZIDI KUCHANGANYA SANA, TUSIJE KUINGIA KWENYE MATATIZO"

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO

BASHE ALIPUKA TENA BUNGENI, ASEMA CCM KWANZA UBUNGE BAADAE

BASHE ALIPUKA TENA BUNGENI, ASEMA CCM KWANZA UBUNGE BAADAE

DJ SMA achambua KUHUSU USHIRIKIANO wa IRAN na URUSI ni HATARI KWENYE SILAHA dhidi ya MAREKAN/ISRAEL

DJ SMA achambua KUHUSU USHIRIKIANO wa IRAN na URUSI ni HATARI KWENYE SILAHA dhidi ya MAREKAN/ISRAEL

ЛЕМА ПРОСЫПАЕТСЯ В ПАРЛАМЕНТСКОМ МЕДИЦИНСКОМ БОЛЬНИЦЕ ЛИССУ, ПРЕДСЕДАТЕЛЬ ХОЧЕТ, ЧТОБЫ ОН ОСТАЛСЯ

ЛЕМА ПРОСЫПАЕТСЯ В ПАРЛАМЕНТСКОМ МЕДИЦИНСКОМ БОЛЬНИЦЕ ЛИССУ, ПРЕДСЕДАТЕЛЬ ХОЧЕТ, ЧТОБЫ ОН ОСТАЛСЯ

PART 1: MBOWE ACHARUKA LISSU KUGOMBEA

PART 1: MBOWE ACHARUKA LISSU KUGOMBEA "KUHUSU KUNG'ATUKA" SALIM KIKEKE AMHOJI

MBOWE AIKOSOA ADHABU YA KAMATI YA BUNGE DHIDI YA CAG

MBOWE AIKOSOA ADHABU YA KAMATI YA BUNGE DHIDI YA CAG

😲ЯКОВЕНКО: В Москве КИПИШ! ТАЙНЫЙ СГОВОР Путина с Ираном. Трамп В ЯРОСТИ вышел с УЛЬТИМАТУМОМ

😲ЯКОВЕНКО: В Москве КИПИШ! ТАЙНЫЙ СГОВОР Путина с Ираном. Трамп В ЯРОСТИ вышел с УЛЬТИМАТУМОМ

Swali la Mbowe kwa Waziri Mkuu Pinda | BUNGE STAR TV

Swali la Mbowe kwa Waziri Mkuu Pinda | BUNGE STAR TV

Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995

Hotuba Ya Mwl Julius K Nyerere Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]