ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KESI...!! Alichokisema wakili wa 'MFALME ZUMARIDI', baada ya kesi kupigwa kalenda

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2022-05-24

Просмотров: 2321

Описание: Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 83 leo wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali katika shauri namba 12/2022 linalowakabili.

Kwenye shauri hilo lililosikilizwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji wa Haki kilichopo Busweru wilayani Ilemela mkoani Mwanza mhubiri huyo na wafuasi wake wanashtakiwa kwa kufanya kusanyiko lisilo na kibali na kufanya shambulio la kudhuru mwili kwa maofisa wa Jeshi la Polisi kinyume na kifungu namba 241 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Akisoma maelezo ya awali kwa washtakiwa Wakili wa Serikali Mwandamizi Dorcas Akyoo amesema Zumaridi na wenzake walifanya shambulio la kudhuru mwili dhidi ya askari wa Polisi mwenye namba G1727 James, F5639 Evodius ba Mkaguzi wa Polisi Ntemi Msiri.

Akyoo ameiambia mahakama hiyo kuwa washtakiwa walitekeleza shambulio hilo kwa kuwapiga mateke na ngumi katika maeneo mbalimbali ya miili yao na kuwasababishia maumivu.

Amesema mbali na kushambuliwa na watu hao, Maofisa wa Jeshi hilo walioambana na kufanikiwa kuwaweka washtakiwa chini ya ulinzi.

Baada baada ya kuwaweka chini ya ulinzi maofisa hao waliwachukua washitakiwa na kuwafikisha katika kituo cha Polisi wilaya ya Nyamagana mkoani humo kwa ajili ya mahojiano kisha kufungua kesi dhidi yao ndani ya mahakama hiyo.

Upande wa Utetezi katika shauri ukiongozwa na Wakili Msomi, Erick Mutta, Steven Kitale na Anyimike Mwamsiku anayemwakilisha mshtakiwa namba 11 umesema hauna pingamizi kwenye maelezo yakiyosomwa na Jamhuri kwa washtakiwa.

Baada ya kusikiliza maelezo ya awali katika kesi hiyo Hakimu, Monica Ndyekobora ameahirisha kesi hiyo hadi Juni 3 mwaka huu.

Katika hatua nyingine shauri la Jinai namba 10/2022 linalomkabili Zumaridi ambalo ni Usafirishaji haramu wa binadamu limeahirishwa hadi Juni 7,2022 kwani mahakama hiyo haina uwezo wa kulisikiliza.

Mwisho.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KESI...!! Alichokisema wakili wa 'MFALME ZUMARIDI', baada ya kesi kupigwa kalenda

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

FAHAMU KUHUSU MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI

FAHAMU KUHUSU MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI

KESI YA ZUMARIDI MWANZA MAMBO BADO MAGUMU, AONESHA MARINGO NDANI YA MAHAKAMA

KESI YA ZUMARIDI MWANZA MAMBO BADO MAGUMU, AONESHA MARINGO NDANI YA MAHAKAMA

KESI YA ZUMARIDI: Utashangaa! MAELEZO ya Daktari na Mgonjwa yakinzana kwenye ushahidi

KESI YA ZUMARIDI: Utashangaa! MAELEZO ya Daktari na Mgonjwa yakinzana kwenye ushahidi

#EXCLUSIVE: MFALME ZUMARIDI AMJIBU MAMA KANUMBA  “Aliniomba MILIONI 1, Nitamrudisha KANUMBA”

#EXCLUSIVE: MFALME ZUMARIDI AMJIBU MAMA KANUMBA “Aliniomba MILIONI 1, Nitamrudisha KANUMBA”

Je unafahamu kwamba ushahidi unaweza kutolewa mahakamani bila ya mshtakiwa kuwepo?

Je unafahamu kwamba ushahidi unaweza kutolewa mahakamani bila ya mshtakiwa kuwepo?

WATOA KIINI NA MAANA HALISI YA KESI 3 ZA ZUMARIDI

WATOA KIINI NA MAANA HALISI YA KESI 3 ZA ZUMARIDI

Ijue sheria ya mfumo wa haki jinai nchini Tanzania

Ijue sheria ya mfumo wa haki jinai nchini Tanzania

Mfalme Zumaridi  omba kesi yake isiendelee kutokana kuumwa

Mfalme Zumaridi omba kesi yake isiendelee kutokana kuumwa

Wakili Malima: Tatizo siyo Polisi wala DPP bali ni Mahakama zetu

Wakili Malima: Tatizo siyo Polisi wala DPP bali ni Mahakama zetu

HAKI YA RAIA KATIKA MAKOSA JINAI

HAKI YA RAIA KATIKA MAKOSA JINAI

#AzamTV #UTV  Adhabu ya kifo Tanzania

#AzamTV #UTV Adhabu ya kifo Tanzania

DRONE:MUONEKANO WA JUU NYUMBA YA ANAYEJIITA 'MFALME' ZUMARIDI

DRONE:MUONEKANO WA JUU NYUMBA YA ANAYEJIITA 'MFALME' ZUMARIDI

SAKATA LA PLOTI YA MASHIMBA LACHUKU SURA MPYA, WAKILI WA RUBEYA AFAFANUA

SAKATA LA PLOTI YA MASHIMBA LACHUKU SURA MPYA, WAKILI WA RUBEYA AFAFANUA

KESI YA ZUMARIDI: JAMHURI WAMALIZA MASHAHIDI WAKE, WAKILI wa MFALME ZUMARIDI AELEZA..

KESI YA ZUMARIDI: JAMHURI WAMALIZA MASHAHIDI WAKE, WAKILI wa MFALME ZUMARIDI AELEZA..

Wafuasi 40 wa Mfalme Zumaridi Waachiwa huru baada ya msoto mkali

Wafuasi 40 wa Mfalme Zumaridi Waachiwa huru baada ya msoto mkali

KESI YA MFALME ZUMARIDI, WAKILI WAKE AFUNGUKA...

KESI YA MFALME ZUMARIDI, WAKILI WAKE AFUNGUKA...

MFALME ZUMARIDI AHUKUMIWA KIFUNGO JELA

MFALME ZUMARIDI AHUKUMIWA KIFUNGO JELA

FURAHA YA MFALME ZUMARIDI MAHAKAMANI BAADA YA KESI YAKE KUONDOLEWA

FURAHA YA MFALME ZUMARIDI MAHAKAMANI BAADA YA KESI YAKE KUONDOLEWA

WATOTO WA MFALME ZUMARIDI WASEMA HAYA KUHUSU KESI ZINAZOMKABILI MAMA YAO

WATOTO WA MFALME ZUMARIDI WASEMA HAYA KUHUSU KESI ZINAZOMKABILI MAMA YAO

MAPYA YAIBUKA: HUKUMU ya ADHABU ya KIFO ALIYOIKATAA RAIS MAGUFULI AKIWA HAI..

MAPYA YAIBUKA: HUKUMU ya ADHABU ya KIFO ALIYOIKATAA RAIS MAGUFULI AKIWA HAI..

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]