Wafuasi 40 wa Mfalme Zumaridi Waachiwa huru baada ya msoto mkali
Автор: Yuboxtv
Загружено: 2022-03-09
Просмотров: 1070
Описание:
Mahakama kuu ya Tanzania Mkoani Mwanza, imekubaliana na ombi lililopelekwa Mahakamani hapo tarehe 8/3/2022 la kutoa Dhamana ya wafuasi 40 kati ya 84 wa Dianna Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye alikamatwa tarehe 28/2/2022 kwa kosa la kusafirisha binadamu wapatao 149 kutoka maeneo mbalimbali na kuja kuwatumikisha katika jengo lake la kifalme
#zumaridi #Mahakamamkazi #Mwanza
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: