Kanisa Linalogawa Utajiri kwa waumini wake full SIMULIZI.
Автор: KING SWAHILI RECAPS
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 11882
Описание:
Karibu kwenye simulizi nzito ya kusisimua isiyo na breki!
Hii ni hadithi ya Nabii Petro, maarufu kama “Kiboko ya Wachawi”, kiongozi wa Bilionea Church jijini Dar es Salaam — kanisa la kifahari lenye madhabahu ya dhahabu, magari ya bei mbaya na waumini wanaomimina mamilioni ya pesa kwa imani.
Lakini nyuma ya pazia…
Mchana anahubiri miujiza. Usiku anavaa bulletproof vest. Mchana anafufua maiti. Usiku anaongoza genge la kigaidi.
Je, muujiza wa kufufua mtoto ulikuwa nguvu ya Mungu… au mchezo wa giza?
Musa, mtaalamu wa IT wa kanisa, anagundua siri nzito kupitia kamera za CCTV. Lakini kabla hajatoroka na ushahidi, ananaswa na watu wa Nabii.
Je, atatoroka? Je, Bilionea Church itaanguka? Au nguvu za giza zitashinda tena?
Tazama hadi mwisho kujua kilichotokea!
#kingswahilirecaps #SimuliziNzito #CrimeThriller #ChurchDrama #KibongoStories
#kingswahilirecaps #SimuliziZaKusisimua #simulizi #movie #DragonVsKiboko #SwahiliRecaps #JambaziSugu
african storytelling
african village storiesswahili storytellingemotional african storiesstepmother storiesafrican drama storiestrue life african storiesSimulizi,Simulizi mix,Simulizi za kutisha,Simulizi za ankojay,Simulizi za kiswahili,Simulizi za mapenzi za kusisimua,Simulizi na sauti,Simulizi forum tv,Simulizi za mapenzi,Simulizi za kusisimua,hadithi,simulizi za salma,simulizi za sauti,hadithi za makanaki,simulizi forum tv,kim story tales,simulizi za maria,story za moric,african simulizi,swahili fairy tales,swahili animation,simulizi za kenya,clamvevo,Dunia,Professor,movie recap swahili,Kiparabrand, Narrative,horror stories,storytelling,jenezalapesa,bongosimulizi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: