MHE. RAIS SAMIA AKIWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WANAFUNZI WA JESHI - MONDULI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-11-17
Просмотров: 1429
Описание: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na kundi la 70/22 “regular” na kushiriki Mahafali ya Nne ya Shahada ya Kijeshi kundi la 04/20 katika viwanja vya Chuo cha Kijeshi Monduli mkoani Arusha leo tarehe 18 Novemba, 2023.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: