AJALI YA TRENI TANZANIA IKITOKEA KIGOMA -DSM
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-01-30
Просмотров: 412042
Описание:
January 29 2017 kulitokea ajali ya treni ya abiria ya Delux maeneo ya Ruvu Pwani iliyokuwa inatokea kigoma kwenda Dar es salaam majira ya saa tisa na dakika 40 alasiri.
Ajali hiyo hakuna aliyekuwa amepoteza maisha lakini watu watano ndio walijeruhiwa na kupelekwa hospital. Abiria wengine waliendelea na safari kwa mabehewa mengine ambayo hayakuanguka huku mabehewa ambayo yalikuwa yameanguka yalikuwa 9mabehewa ambayo yalikuwa yameziba njia yalitolewa njiani na reli kukarabatiwa sehemu ambayo iliaribika na kuruhusu treni ya abiria inakwenda kigoma kupita muda wa saa kumi na mbili jioni.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: