ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Maziwa ya Kienyeji na Maziwa ya Kisasa (Low fat au Skimmed milk) yapi Salama kiafya?

Автор: Dr Boaz Mkumbo MD

Загружено: 2019-04-11

Просмотров: 16942

Описание: Maziwa ni chakula kinachopatikana kutoka kwa wanyama. Binadamu tunakunywa maziwa ya ng'ombe mbuzi ngamia nk.
Maziwa asilia ambayo hayajachachuliwa naamanisha yaliyota moja kwa moja kwa ng'ombe huwa yana protini,mafuta vitamins (A,D,E) pia huwa yana madini ya Chuma yanayo saidia kutengeneza damu,Madini ya calcium ambayo hutusaidia kuimarisha mifupa. Haya maziwa yenye viambata hivi huitwa MAZIWA ASILIA (Full fat milk)

Maziwa ya kisasa ni yale yanayotokana na maziwa asili. Ila yamechujwa mafuta na unapokuwa unachuja mafuta unazichuja pia vitamin zinazotembea na mafuta kama vitamin A,D,E na baada ya hapo utalazimika kuweka Vitamin Feki ambazo tunasema ni "Artificial vitamin" ili kumdanganya mtumiaji kwamba zile vitamin ulizotaka kwenye maziwa teknolojia hii ya kuchuja haijazipoteza. Kumbe zimeongezwa nyingine ambapo zile asilia zimepotea.
Maziwa ambayo ni Skimmed milk ubaya wake wa kwanza huwa hayana ladha, Pili yana uwezo mkubwa wa kupandisha sukari kuliko maziwa asili, tatu hayawezi kukusaidia kudhibiti uzito wako ina maana yatakuhatarisha kupata maradhi mengi yatokanayo na kisukari kutodhibitika na uzito kutodhibitika.
Hebu tizama Video hii mpaka mwisho utaelimika.
Pata nakala ya sayansi ya mapishi upate kujinoa na nina uhakika utayavuka mateso yote unayo pitia kiafya endapo ukifuata elimu hii kwa mazingatio ya hali ya juu.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Maziwa ya Kienyeji na Maziwa ya Kisasa (Low fat au Skimmed milk) yapi Salama kiafya?

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Fuatana na Prof. Mohamed Janabi ili kufahamu NJIA SITA ZA KUPUNGUZA UPANDAJI WA SUKARI KWENYE DAMU#*

Fuatana na Prof. Mohamed Janabi ili kufahamu NJIA SITA ZA KUPUNGUZA UPANDAJI WA SUKARI KWENYE DAMU#*

Marufuku Kukaanga chakula na Mafuta ya Mbegu Kama Alizeti, Pamba soya Mahindi katika Lishe Bora.

Marufuku Kukaanga chakula na Mafuta ya Mbegu Kama Alizeti, Pamba soya Mahindi katika Lishe Bora.

6 упражнений, которые ЯПОНЦЫ делают, чтобы УДВОИТЬ СИЛУ НОГ после 60 🦵🚀

6 упражнений, которые ЯПОНЦЫ делают, чтобы УДВОИТЬ СИЛУ НОГ после 60 🦵🚀

MEDICOUNTER:UNAUJUA  UMUHIMU WA KUNYWA MAZIWA?

MEDICOUNTER:UNAUJUA UMUHIMU WA KUNYWA MAZIWA?

Рак умирает, когда вы едите эти 10 продуктов

Рак умирает, когда вы едите эти 10 продуктов

Gesi, Kiungulia na Vidonda vya tumbo. Matibabu yake

Gesi, Kiungulia na Vidonda vya tumbo. Matibabu yake

Why ‘Healthy’ People Develop Clogged Arteries & How Fasting Can Help

Why ‘Healthy’ People Develop Clogged Arteries & How Fasting Can Help

Vyakula salama Kwa mwenye shida ya vidonda vya tumbo.🥭🫑🫛

Vyakula salama Kwa mwenye shida ya vidonda vya tumbo.🥭🫑🫛

Inside the Factory: China’s Giant Cassava Flour Process (Full Process)

Inside the Factory: China’s Giant Cassava Flour Process (Full Process)

Vyakula vyenye uwezo mdogo wa Kupandisha sukari zaidi ya Dona na Ngano nzima

Vyakula vyenye uwezo mdogo wa Kupandisha sukari zaidi ya Dona na Ngano nzima

Vyakula Vya Wagonjwa Wa Kisukari

Vyakula Vya Wagonjwa Wa Kisukari

Cholesterol, Lehemu Magonjwa ya Moyo, Nyama nyekundu na Gauti maswali Yote Yamejibiwa.

Cholesterol, Lehemu Magonjwa ya Moyo, Nyama nyekundu na Gauti maswali Yote Yamejibiwa.

Almond,Karanga Lozi hutibu presha,kisukari,pumu na husaidia Kupunguza Kitambi

Almond,Karanga Lozi hutibu presha,kisukari,pumu na husaidia Kupunguza Kitambi

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

MAPISHI BAGIA ZA DENGU

MAPISHI BAGIA ZA DENGU

Практическое руководство по улучшению здоровья путем оптимизации кишечной микрофлоры

Практическое руководство по улучшению здоровья путем оптимизации кишечной микрофлоры

#Kiungulia #Gesi, #Choo #Kigumu na  Bawasili Vipimo na Namna ya Kutibu tatizo hili

#Kiungulia #Gesi, #Choo #Kigumu na Bawasili Vipimo na Namna ya Kutibu tatizo hili

Faida za Kula Yai Zima La Kienyeji. Usitupe Kiini Cha Njano Kina Virutubisho Lukuki Kiafya

Faida za Kula Yai Zima La Kienyeji. Usitupe Kiini Cha Njano Kina Virutubisho Lukuki Kiafya

КАК В СТАРОСТИ НЕ ПРЕВРАТИТЬСЯ В ОБУЗУ? 7 ВАЖНЕЙШИХ СОВЕТОВ ОТ ТАТЬЯНЫ ЧЕРНИГОВСКОЙ.

КАК В СТАРОСТИ НЕ ПРЕВРАТИТЬСЯ В ОБУЗУ? 7 ВАЖНЕЙШИХ СОВЕТОВ ОТ ТАТЬЯНЫ ЧЕРНИГОВСКОЙ.

How Millions of Roast Turkeys Are Made: Inside a High-Speed Turkey Roasting Factory (Full Process)

How Millions of Roast Turkeys Are Made: Inside a High-Speed Turkey Roasting Factory (Full Process)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]