Wema Sepetu Amjibu Zari Kuwa Amuulize Diamond, Atua Wasafi TV
Автор: CHAMPION HABARI
Загружено: 2018-03-04
Просмотров: 2165767
Описание:
/ kidanistars
Msanii wa filamu Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza Jumapili hii kuzungumzia kuhusika kwake katika kulivunja penzi la Diamond na Zari. Muigizaji huyo amekanusha tuhuma hizo huku akidai hawezi kumshauri chochote Zari kwa kuwa ni mtu mzima ambaye anajitambua na anaweza kufanya maamuzi yake mwenyewe.
/ kidanistars
/ kidanistars
/ kidanistars
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: