Chidi Benzi na Q Chilla Walivyoamsha Mashabiki Uwanja Mzima Taifa
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-08-12
Просмотров: 145067
Описание:
SUBSCRIBE NOW / uwazi1
Ikiwa ni siku maalumu ya tamasha kutoa elimu juu ya usalama barabarani kutokea katika uwanja wa taifaa Dar, wamehuduria wasanii mbalimbali wakiwemo pia viongozi wa serikali.
Chid Benzi na Q Chiller tayari wamesha fanya show ambayo imekuwa na utofauti wa pekee na uwanja mzima ulisimama huku mashabiki wakishangilia kwa vitendo.
Global TV siku zote huwa hatubaki nyuma, itazame video hii mpaka mwisho kujionea hali ilivyokuwa.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: