DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | 19.12.2025 | Swahili News
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-18
Просмотров: 7485
Описание:
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo :
-Wakuu wa Umoja wa Ulaya washindwa kuafikiana namna ya kuzitumia mali za Urusi kuisaidia Ukraine.
-Marekani yawawekea vikwazo majaji wawili zaidi wa Mahakama ya ICC.
-Vurugu zazuka nchini Bangladesh baada ya kifo cha kiongozi wa vijana.
-Wanaume saba wakamatwa mjini Sydney wakihusishwa na washambuliaji kwenye ufuo wa Bondi.
-Umoja wa Mataifa wamchagua Rais wa zamani wa Iraq Barham Salih kuwa mkuu wa shirika la wakimbizi.
#DWKiswahili #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: