Namna ya Kutengeneza Jiko Banifu (Demo) - Part 1
Автор: Mazingira TV
Загружено: 2021-09-15
Просмотров: 5020
Описание:
LEAT inahamasisha utengenezaji wa majiko banifu kwa lengo la:
Kupunguza matumizi ya kuni nyingi; kupunguza athari za kiafya kwa akina mama; uivishaji wa chakula kwa haraka; kupunguza muda mwingi wa kutafuta kuni; na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: