Скачать
MAOMBI YA USIKU (SHUKRANI, TOBA, KIBALI, ULINZI) - +255769896700
Автор: MAOMBI KWANZA
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 287180
Описание: Karibu kwenye maombi ya usiku yenye nguvu! Katika video hii, tunaingia mbele za Mungu kwa shukrani kwa mema yake, toba ya dhambi zetu, kuomba kibali mbele za Bwana, na ulinzi dhidi ya hila za adui. Ni muda wa utulivu wa kiroho, kuungana na Mungu kabla ya kulala. Tafuta uso wa Bwana, pata amani ya moyo na nguvu mpya kwa siku inayofuata. Jihusishe kwa imani, na usahau kusubscribe ili uendelee kupata maombi zaidi ya kukuimarisha kiroho. Karibu tuombe pamoja! #maombiyausiku #yesu #mungukwanza #imaniyakweli
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: