Mwenyekiti wa mtaa wa Mtumba Dodoma aibebesha Serikali mzigo, mauaji yanayoendelea
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-10-05
Просмотров: 4278
Описание:
Wakati wanafunzi wa darasa la saba wakianza mitihani ya kumaliza elimu ya msingi jana mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba Farida Makuya (16) ameshindwa kufanya mitihani hiyo baada ya kuuliwa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Mtumba,Nathan Mlunya amsema hilo ni tukio la nne mtu kuuliwa katika kipindi cha miaka mitatu.
Mwenyekiti huyo wa Mtaa ameeleza kutokana na matiko kuzidi wanaiomba Serikali iwajengee kituo cha Polisi kwani hali imekuwa tete kwao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: